TANGAZO LA ZOEZI LA CLEARANCE KWA WAHITIMU WA 2024
Ndugu wahitimu wote wa mwaka 2024, Chuo Kikuu cha Iringa kinatoa taarifa muhimu kuhusu mchakato wa "clearance" na maandalizi ya transcript. Wahitimu wanahimizwa kutimiza masharti yaliyoainishwa ndani ya muda uliopangwa