Home Our Vision

CHUO KIKUU CHA IRINGA

(ZAMANI-CHUO KIKUU CHA TUMAINI IRINGA)

TANGAZO LA MAHAFALI

22/11/2017

MKUU WA CHUO KIKUU CHA IRINGA MHESHIMIWA JAJI MSTAAFU AGUSTINO RAMADHANI, ANAWAALIKA WAHITIMU WA MWAKA 2017, FAMILIA ZAO NA MARAFIKI, KUHUDHURIA MAHAFALI YA 20 YATAKAYOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI YA TAREHE  2 DECEMBA 2017 (02/12/2017).MAHAFALI HAYO YATAANZA SAA 2:00 (MBILI) KAMILI ASUBUHI CHUONI HAPO KWA MAANDAMANO YA KITAALUMA.

MAHAFALI HAYO YATATANGULIWA NA KONGAMANO (CONVOCATION) AMBALO LITAFANYIKA SIKU YA IJUMAA TAREHE 1 DECEMBA 2017 KUANZIA SAA 3:00 (TATU KAMILI) ASUBUHI CHUONI HAPO.

MAZOEZI YA MAHAFALI YATAFANYIKA SIKU YA IJUMAA 1/12/2017, SAA 8.00 (NANE) KAMILI MCHANA.WANAFUNZI WATAKAOSHINDWA KUSHIRIKI MAZOEZI HAWATARUHUSIWA KUSHIRIKI KATIKA MAHAFALI. 

MAJOHO YA MAHAFALI YATAANZA KUTOLEWA SIKU YA AHLAMIS 30/11/2017

 

 

WOTE MNAKARIBISHWA

 

 

 

 

UNIVERSITY OF IRINGA

THE 2017 GRADUATION ANNOUNCEMENT

22 NOVEMBA 2017

THE CHANCELLOR OF UNIVERSITY OF IRINGA WOULD LIKE TO INFORM ALL GRADUATING STUDENTS OF 2017 THAT THE GRADUATION CEREMONY WILL TAKE PLACE ON SATURDAY 2 DECEMBER 2017 AT THE UNIVERSITY OF IRINGA

THE CEREMONY WILL BEGIN AT 8:00 AM PRECEEDED BY THE ACADEMIC PROCESSION WHICH WILL BEGIN AT THE LIBRARY GROUNDS.

THE CONVOCATION WILL BE ON FRIDAY 1 DECEMBER 2017 AT 09: 00 HRS AM.

ALL GRADUATING STUDENTS ARE EXPECTED TO ATTEND.

REHESAL DAY WILL BE ON 1st DECEMBER 2017 FROM 14:00 PM.

ALL STUDENTS WHO WILL NOT ATTEND REHERSALS WILL NOT BE INCLUDED IN THE GRADUATION CEREMONY.

THE GRADUATION GOWNS WILL BE DISTRIBUTED FROM 30/11/2017

PLEASE OBSERVE PUNCTUALITY!!!!!!!!!!!!!!

 

YOU ARE WELCOME!

CHANCELLOR,

UNIVERSITY OF IRINGA